TUUNGE MKONO

Endeleza Maktaba ya Kumbukumbu na Maarifa

Nukuu za Samia ni Maktaba ya KIDIJITALI inayokusanya, kuhifadhi na kuwezesha usomaji wa kauli na hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan, pamoja na muktadha, uchambuzi na ufafanuzi unaozizunguka.

Unaweza kushiriki katika kuendeleza kazi hii ya kuhifadhi kumbukumbu, kufanya utafiti na kuwezesha upatikanaji wa maarifa kwa wasomaji wa sasa na vizazi vijavyo.

Mchango wako una thamani katika kuendeleza Maktaba hii, kuboresha ukusanyaji na uhifadhi wa kumbukumbu, na kuwezesha maarifa haya kuwafikia wasomaji wengi zaidi.

Ungana nasi katika kuendeleza Maktaba.